ZUMA azuiwa kutoa hotuba Bungeni

Spika wa Bunge la Afrika Kusini Baleka Mbete amesema hotuba ya kila mwaka ya Rais Jacob Zuma ambayo ingeelezea  kuhusu hali ya nchi, imeahirishwa kutokana na mashinikizo anayokabiliana nayo Rais huyo. Hotuba hiyo ilikuwa isomwe na Zuma kesho February 8, 2018 bungeni lakini sasa imeahirishwa hadi wakati mwingine huku rais huyo akiendelea kushinikizwa ajiuzulu. Afisa […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Wednesday, 7 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News