ZSSF Pemba yatoa msaada kwa skuli ya Sekondari ya Kiwani

 Walimu na wanakamati ya wazee wa Skuli ya Kiwani Sekondari wakimsikiliza Meneja wa ZSSF tawi la Pemba Rashid Mohamed Abdalla, katika hafla ya makabidhiano ya hundi ya Shilingi Milioni 10,000,000 kwa ajili ya kusaidia Sekta ya Elimu Zanzibar, Picha NA HANIFA SALIM, PEMBA. MENEJA wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar ZSSF tawi la Pemba Rashid Mohamed Abdalla, akizungumza na walimu na wanakamati ya wazee ya Skuli ya Sekondari Kiwani katika hafla ya makabidhiano ya hundi ya Shilingi Milioni 10,000,000 kwa lengo la kusaidia Sekta ya Elimu Zanzibar, Picha NA HANIFA...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Thursday, 8 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News