Zitto Kabwe kuchukua hatua hii, baada ya kuzuiwa kufanya mkutano leo na Polisi

Leo January 16, 2018 Mbunge Kigoma Mjini na Kiongozi wa chama cha ACT wazalendo Zitto Zuber Kabwe ameonesha kutokuridhishwa na uamuzi wa  jeshi la polisi mkoani Kigoma baada ya kuzuia Mkutano wa hadhara wa Mbunge huyo. Kupitia ukurasa wake wa Facebook Zitto Kabwe ameandika “Jeshi la polisi limezuia Mkutano wangu wa hadhara kama Mbunge wa […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Tuesday, 16 January

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News