Zitto Kabwe ametaja lengo la waliotaka kumuua Lissu

Mbunge wa Kigoma Mjini kupitia chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Zuberi Kabwe, ameuzungumzia mwaka 2017 huku akiukaribisha mwaka mpya 2018, kwa kusema kuwa tukio la kupigwa risasi Tundu Lissu lilimgharimu. Katika ukurasa wake wa facebook Zitto Kabwe amesema kupigwa risasi kwa Tundu Lissu ni tukio lililomfanya kubadili mtazamo wake na kumfanya kupoteza watu wa karibu. “Tukio […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Monday, 1 January

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News