ZIMBABWE IMEJIBU, ACHA MAISHA YAENDELEE

NA MWANDISHI WETU TUKIO la kutekwa kwa wasanii wa Bongo Fleva, Ibrahim Musa ‘Roma MkatoLiki’, Mon wa Centrozone, Bin Laden na kijana wa kazi wakiwa studio za Tongwe, jijini Dar es Salaam, hakuna aliyekuwa na jibu la nani hasa ni mhusika wa tukio hilo. Ni jambo ambalo kwenye mazingira halisi ni ngumu kutokea, hasa katika nchi yenye amani kama Tanzania, wengi tuliingiwa na hofu, wasanii walikusanyika makundi kwa makundi kujadili hatma ya wenzao, viongozi walitoa matamko ya kuhakikisha Roma na wenzake wanapatikana wakiwa salama. Hatimaye walipatikana wakiwa hai, ila...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Saturday, 19 August

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News