Zimamoto na Uokoaji wasaidiwe kukabili changamoto

Na Zulfa Mfinanga, Dodoma Licha ya kuwepo kwa Sheria ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji nchin haina mfumo wa dharura wa uokoaji katika ajali za barabarani. Sheria ya Zimamoto na Uokoaji Cap 427 ya mwaka 2008, Kifungu c cha (1) cha sheria hiyo kimeeleza majukumu ya jumla ya jeshi hilo kupunguza idadi ya vifo, kupunguza na kuzuia madhara kwa binada uharibifu wa mali ambayo yanatokana na moto, mafuriko, tetemeko barabarani pamoja na majanga mengine. Katika Kifungu cha 8, Kipengele (e) kinaendelea kuelezea kuwa Kik Uokoaji kinatakiwa kuweka hatua madhubuti ili...

read more...

Share |

Published By: Jamhuri Media - Wednesday, 12 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News