ZIDANE AMEANZA KUMJARIBU MTU ASIYEJARIBIWA

NA EZEKIEL TENDWA HUENDA Zinedine Zidane amesahau kilichowakuta watangulizi wake ndani ya Klabu ya Real Madrid, ndiyo maana ameanza kumletea utani Florentino Perez, ambaye si mtu wa kujaribiwa hata kidogo. Ndiyo! Ameanza kuleta masihara, kwani kwa Perez kutoka sare mbili mfululizo na timu ambazo anahisi ni ndogo, tena uwanja wao wa nyumbani, ni sawa na kumjaribu rais huyo wa Klabu yenye kila aina ya utajiri. Ni kweli kwamba ni michezo mitatu tu ambayo wamecheza mpaka sasa Ligi Kuu nchini Hispania, lakini kutoka sare michezo miwili na kushinda mmoja si jambo...

read more...

Share |

Published By: Dimba - Wednesday, 13 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News