ZFA kutoa taarifa ya jinsi ya kupatikana kwa timu 12 za Ligi Kuu Zanzibar Jumatatu

Na: Abubakar Khatib Kisandu, Zanzibar.Chama cha Soka Visiwani Zanzibar (ZFA) kinatarajia kutoa taarifa Jumatatu ya June 19, 2017 ya kutaja tarehe ya kukutana timu 28 ambazo zitapendekeza mfumo gani utumike ili zipatikane timu 12 za ligi kuu soka ya Zanzibar za msimu ujao wa mwaka 2017-2018.Tarehe hiyo ya kukutana vilabu hivyo 28 itatolewa siku hiyo ya Jumatatu majira ya saa 7:30 za mchana kwenye Afisi za ZFA zilizopo Amani Mjini Unguja.Siku ya Alhamis Machi 16, 2017 itaendelea  kukumbukwa na Wazanzibar baada ya ZFA kuingizwa rasmi kuwa Mwanachama wa 55 wa...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Saturday, 17 June

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News