Zesco wafanya mazoezi kwa siri, watu waote wazuiliwa kuingia Uwanja wa Amaan

 NA Abubakar Khatib Kisandu, Zanzibar. Timu ya Zesco United kutoka Zambia imezuia mashabiki kuingia uwanja wa Amaan, kuangalia mazoezi ya klabu hiyo baada ya kuamua kufanya mazoezi siri kuelekea mchezo wao kesho kutwa (Jumamosi) dhidi ya wenyeji wao JKU katika Mashindano ya Kombe la Klabu Bingwa Barani Afrika.Mashabiki wa soka visiwani Zanzibar walijitokeza kwa wingi nje ya uwanja wa Amaan wakisubiri timu ya ZESCO ifike uwanjani ili waangalie mazoezi yao, lakini hali ilikuwa tofauti baada ya wachezaji kuingia ndani ya uwanja huo na Mageti yote yakafungwa na hakuruhusiwa mtu yeyote kuingia.Baada ya...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Thursday, 8 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News