Zesco United yawasili Zanzibar tayari kuwavaa JKU Jumamosi

Timu ya Zesco United kutoka Zambia katika pichaNa Abubakar Khatib Kisandu, Zanzibar.Wapinzani wa JKU katika michuano ya Klabu Bingwa Afrika timu ya Zesco United kutoka Zambia wamewasili leo Zanzibar tayari kabisa kwa mchezo wa Jumamosi kwenye uwanja wa Amaan.Timu hiyo imewasili leo saa nne asubuhi kwenye uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Aman Karume kwa ndege ya Shirika la Ndege la Kenya ambapo wachezaji wa timu hiyo wameongozana na viongozi wao na wamepokelewa na wenyeji wao ambao ni viongozi wa timu ya JKU.Afisa habari wa chama cha soka Zanzibar...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Wednesday, 7 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News