Zari saa chache baada ya picha ya Hamisa na videographer wa Diamond

Baada ya muimbaji wa Bongofleva Diamond Platnumz na mzazi mwenzake Hamisa Mobetto kufikishana Mahakamani wiki iliyopita inadaiwa kuwa mambo yao yapo sawa kwa sasa na wamemaliza tofauti zao, hiyo ni baada ya kusambaa kwa picha za official videographer wa Diamond Platnumz ambaye ni Lukamba kusambaa kwa picha mtandaoni akiwa na Hamisa. Kitendo cha Lukamba kuonekana […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - 7 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News