Zari, Rayvanny na Roma walivyoguswa na hukumu ya Lulu

Mastaa mbalimbali wameonyesha kuguswa na hukumu ya miaka miwili aliyohukumiwa Mwigizaji wa Tanzania Elizabeth Michael “Lulu” kutokana na kesi iliyokua ikimkabili ya kuua bila kukusudia, ukibonyeza play hapa chini utaona post za Zari, Roma na Rayvanny VIDEO: HALI ILIVYOKUA MAHAKAMANI BAADA YA LULU KUHUKUMIWA MIAKA MIWILI…....

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - 7 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News