ZANZIBAR YAWATANGAZIA KIAMA WAUZA UNGA

Na JOHANES RESPICHIUS NGUVU ya kuwadhibiti wasafirishaji na wauzaji wa dawa haramu za kulevya kwa upande wa Tanzania Bara, sasa imekita kambi visiwani Zanzibar. Siku chache kabla ya kufanyika kwa mabadiliko ya Baraza la Mawaziri Zanzibar, aliyekuwa Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji visiwani humo, Balozi Ali Abeid Karume, ambaye sasa anashikilia Wizara ya Vijana, Utamaduni, Sanaa na Michezo  aliliambia RAI kuwa wameshtushwa na taarifa za Zanzibar sasa kuwa lango la kusafirisha madawa ya kulevya na walichokifanya ni kuhakikisha wanalishughulikia suala hilo kikamilifu. Alisema wizara yake tayari imeshakaa na mamlaka...

read more...

Share |

Published By: Rai - Thursday, 8 March

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News