Zanzibar Heroes Yaibuka na Ushindi wa Mabao 3 - 1 Dhidi ya Timu ya Rwanda

Kikosi cha Timu ya Taifa ya Zanzibar Heroes kilichoitoa kamasi Timu ya Taifa ya Rwanda katika mchezo wa Kombe la Chalenji michuano inayofanyika Nchini Kenya katika uwanja wa Machakosi na kuibuka na ushindi wa Mabao 3 - 1....

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Wednesday, 6 December

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News