Zanzibar Heroes waendelea kujifua, Selembe Pekee kafika kutoka Ligi Kuu Bara

 Mchezaji wa Zanzibar Heroes Suleiman Kassim "Selembe" akijifua Wachezaji wa Zanzibar Heroes wakiwa katika mazoezi leo Uwanja wa AmaanNa Abubakar Khatib Kisandu, Zanzibar.Ikiwa leo ni siku ya nane tangu kuanza mtizi Kikosi cha timu ya Taifa ya Soka ya Zanzibar (Zanzibar Heroes) kinaendelea na mazoezi yake kujiandaa na Mashindano ya CECAFA Chalenj CUP yanayotarajiwa kufanyika Novemba 25 na kumalizika Disemba 9, 2017 huko nchini Kenya.Mazoezi hayo yanayosimamiwa na kocha mkuu wa kikosi hicho Hemed Suleiman (Morocco) yanaendelea kila siku kuanzia saa 2:00 za asubuhi katika uwanja wa Amaan Mjini Unguja ambapo...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - 6 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News