Zaidi ya nyumba milioni 3.4 kukosa umeme Marekani

KIMBUNGA cha Irma kimesababisha vifo vitatu baada ya kutua katika jimbo la Florida kikitokea kisiwa cha Marco magharibi mwa pwani ya Florida nchini Marekani, anaandika Irene Emmanuel. Kimbunga hicho kilichosababisha uharibifu mkubwa kina kasi ya kilomita 192 kwa saa lakini kwa sasa kimeshuka kutoka kiwango cha tatu hadi cha pili. Zaidi nyumba milioni 3.4 katika jimbo ......

read more...

Share |

Published By: MwanaHALISI Online - Monday, 11 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News