Z ANTO KUWASHANGAZA MASHABIKI

Na GLORY MLAY MWIMBAJI wa muziki wa Bongo Fleva  aliyewahi kufanya vizuri na wimbo wake wa Binti Kiziwi, Ally Mohammed ‘Z Anto’, amesema kwa mwaka huu mpya anatarajia kuachia audio na video zake mpya tatu kwa ajili ya ‘kuwasuprise’  mashabiki wake. Msanii huyo alisema anataka kupunguza ukimya alionao katika muziki, hivyo yupo katika maandalizi ya kuachia audio na video hizo tatu. “Mungu akijalia kuanzia mwaka huu mpya ninatarajia kuachia audio na video zangu tatu ambazo zipo jikoni na muda wowote nitaanza kuachia moja moja, nimekaa kimya kwa muda kidogo...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Monday, 1 January

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News