YANGA YAPOKEA KIPIGO CHA 1-2 TAIFA, DHIDI TOWNSHIP ROLLERS YA BOTSWANA

Mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Yanga dhidi ya Township Rollers ya Botswana, umemalizika katika Uwanja wa Taifa kwa wenyeji kupoteza kwa jumla ya mabao 2-1. Katika dakika 45 za kipindi cha kwanza, Township Rollers ndiyo waliokuwa wa kwanza kupata bao la kwanza mapema kabisa kwenye dakika ya 11 kupitia kwa Lemponye. Baada ya bao hilo la kuongoza kwa Rollers, Yangan waliendelea kupambana ambapo katika dakika ya 30, mshambuliaji Obrey Chirwa aliweza kufunga bao la kusawazisha, kufuatia kazi nzuri ya Papy Tshishimbi aliyetoa pasi kwake. Mpaka mwamuzi...

read more...

Share |

Published By: Jamhuri Media - Tuesday, 6 March

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News