YANGA YAPIGWA MARA 4 KATIKA LIGI BAADA YA KUFUNGWA NA MTIBWA LEO

Hali imezidi kuwa ngumu kwa Yanga katika ligi msimu huu baada ya kukubali kupoteza tena mchezo wa leo dhidi ya Mtibwa Sugar kwa bao 1-0 kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro.Kikosi hicho kimeondoka na alama sifuri baada ya kutoka kufungwa na Tanzania Prisons kwa mabao 2-0 katika mchezo uliopita kwenye Uwanja wa Sokoine MbeyaBao pekee la mchezo huo limefungwa na Hassan Dilunga katika dakika ya 82 ya kipindi cha pili na kuufanya mchezo umalizike kwa matokeo hayo.Yanga imepoteza jumla ya michezo minne sasa katika Ligi baada ya kufungwa na Mbao...

read more...

Share |

Published By: Sporti Starehe - Sunday, 13 May

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News