YANGA YANASA VIFAA 10 HATARI

NA HUSSEIN OMAR   MAMBO ni moto Yanga, kwani mabosi wa klabu hiyo wameamua kufanya kweli na kunasa majina ya wachezaji 10 ambao watawajadili kabla ya kuanza mazungumzo nao ili kuwasajili. Mabingwa hao wa zamani wa Ligi Kuu Tanzania Bara, hawatashiriki michuano ya kimataifa mwakani, hivyo wapo katika mikakati kabambe kukiboresha kikosi chao kwa ajili ya msimu ujao, baada ya kupoteza taji lao mwaka huu. Habari zisizo na shaka kutoka kwa kigogo mmoja wa timu hiyo, aliliambia BINGWA jana kuwa, kimya chao kina mshindo, kwani mambo yao wanayafanya kisayansi zaidi...

read more...

Share |

Published By: Bingwa - Friday, 25 May

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News