YANGA YAMTIBUA LECHANTRE

NA SAADA SALIM KUMBE si Wabongo tu, hata Wazungu wanatibuka pindi wanaposikia jambo fulani likijadiliwa mahali pasipohusika. Hiyo ilitokea jana kwenye ukumbi wa Makao wa Makuu ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), pale kocha mkuu wa Simba, Pierre Lechantre, alipoamua kuondoka ukumbini humo mara baada ya kusikia jina la mahasimu wao Yanga likitajwa kwenye mkutano wao. Pierre alikuwa TFF pamoja na Mkuu wa Idara ya Mawasiliano wa Simba, Hajji Manara na Ofisa Habari wa TFF, Clifford, ndipo kuzungumzia maandalizi ya mchezo kati ya Simba na Al Masry ya Misri, unaotarajiwa...

read more...

Share |

Published By: Dimba - Wednesday, 7 March

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News