YANGA YAMALIZANA NA CHIRWA

NA JESSCA NANGAWE WAKATI kukiwa na tetesi za straika wa Yanga, Obrey Chirwa kutakiwa na uongozi wa Simba, Yanga wameshtukia dili na kumwita mezani nyota huyo kwa ajili ya kumalizana naye. Chirwa amekuwa akitajwa kutakiwa na klabu ya Simba katika msimu ujao wa Ligi Kuu huku kukiwa na madai kuwa, Yanga wameshindwa kumlipa fedha zake na kutaka kiasi kikubwa cha fedha ambazo Wanajangwani hao huenda wakashindwa kuendelea naye. Chirwa ambaye aliondoka nchini zaidi ya wiki moja iliyopita, inadaiwa alipewa ruhusa kwenda kwao Zambia kushughulikia matatizo ya kifamilia na alirejea mwishoni...

read more...

Share |

Published By: Dimba - Tuesday, 2 January

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News