Yanga yalamba milioni 300 Caf

*** Ni kwa kutinga hatua ya makundi baada ya kuwatoa Waethiopia... ***YANGA imejihakikishia kuibuka na Sh. milioni 336 kutoka Shirikisho la Soka Afrika (Caf), baada ya kufanikiwa kutinga hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika jana.Licha ya wenyeji, Welayta Dicha FC ya Ethiopia kupata ushindi wa bao 1-0 katika mechi ya marudiano ya Kombe la ShirikishoAfrika iliyopigwa jana mjini Awassa, mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga ya jijini Dar es Salaam wamefanikiwa kutinga hatua ya makundi ya mashindano hayo kwa tofauti ya jumla ya mabao 2-1 kufuatia...

read more...

Share |

Published By: Sporti Starehe - Wednesday, 18 April

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News