Yanga vs Njombe Mji, Obrey Chirwa kapiga hat-trick huko!!!

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania bara Dar es salaam Young Africans leo walikuwa nyumbani katika uwanja wao wa Uhuru kuikaribisha timu ya Njombe Mji kutoka Njombe. Yanga wakiwa nyumbani wamefanikiwa kupata ushindi wa magoli 4-0 na kufanikiwa kuvuna point zote tatu, magoli ya Yanga yalifungwa na Obrey Chirwa aliyefunga hat-trick dakika ya 46, 64,87 […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Tuesday, 6 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News