Yanga kwenye headlines moja na Stoke City na Crystal Palace

Club ya Yanga leo Jumanne ya January 16 2018 imetangaza good news kwa mashabiki na wapenzi wa soka Tanzania, baada ya uongozi wao kutangaza club yao kuingia mkataba wa udhamini wa miaka mitatu na kampuni ya vifaa vya michezi ya kiitaliano ya Macron. Yanga leo wametangaza kufanikiwa kuingia mkataba wa miaka mitatu na kampuni ya […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Tuesday, 16 January

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News