YANGA KUIBOMOA SINGIDA UNITED

NA SAADA SALIM- ZANZIBAR YANGA imeanza kufungua jicho lake katika usajili mkubwa, ambapo tayari jina la beki wa kushoto wa Singida United, Shafiq Batambuze, limetua mikononi mwa kocha mkuu wa timu hiyo, George Lwandamina. Batambuze amekuwa chachu ya mafanikio ya Singida United katika Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu tangu alipotua katika kikosi cha timu hiyo wakati wa dirisha kubwa la usajili. Taarifa za uhakika zilizoifikia MTANZANIA jana kutoka kwa kigogo mmoja wa Yanga, zinasema kiwango cha maana kinachoonyeshwa na beki huyo katika michuano ya Mapinduzi na Ligi Kuu...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - 4 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News