YANGA, DANGOTE HUREEE

MICHAEL MAURUS NA HUSSEIN OMAR YANGA wanaweza kulamba dume kwa mfanyabiashara Alhaji Aliko Dangote, katika mpango wao wa kumtaka kununua hisa asilimia 49 za klabu yao ili kuifanya kutoka katika mfumo wa uendeshaji wa wanachama na kuhamia ule wa kampuni. Imeripotiwa kuwa Yanga ipo katika mkakati wa kumshawishi Dangote kununua hisa za Kampuni ya Yanga ili kuiwezesha klabu hiyo kujiendesha kisasa zaidi kama ilivyo Manchester City ya England na klabu kadhaa nyinginezo barani Ulaya. Hilo linakuja siku chache baada ya Simba kuhama kutoka katika mfumo wa uendeshaji wa timu wa...

read more...

Share |

Published By: Bingwa - Thursday, 7 December

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News