Yanga African Yaibuka na Ushindi Kombe la Mapinduzi Yaifunga Timu ya Mlandege 2-1 Mchezo Uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar.

Kikosi cha Timu ya Yanga African kilichotoka na ushindi wa bao 2-1 dhidi ya Timu ya Mlandege katika mchezo wake wa kwanza wa Michuani ya Kombe la Mapinduzi uliofanyika katika Uwanja wa Amaan Zanzibar. Bao la kwanza la Yanga limefungwa katika dakika ya 7na 36 ya mchezo huo kipindi cha kwanza kupitia mshambuliaji wake Juma Mahadhi. Bao la kufutia machozi la Timu ya Mlandege limefungwa na mshambuliaji wake Omar Makamekatika kipindi cha pili cha mchezo huo katika dakika ya 48. Hadi mwisho wa mchezo huo timu ya Yanga African imetoka...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Wednesday, 3 January

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News