Wizkid juu ya stage moja na Beyonce, Cardi B

Staa wa muziki kutokea Nigeria Wizkid “Starboy” nyota yake inazidi kung’aa baada ya kuchaguliwa kuwa msanii pekee kutokea Afrika kufanya show ya Coachella Valley Music & Arts Festival itakayofanyika Empire Polo Club Indio, California na kufanyika April 14 & 21, 2018. Coachella Valley Music & Arts Festival ni tamasha linaloingiza hela nyingi nchini Marekani na linafahamika dunia nzima na […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Wednesday, 3 January

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News