Wizara ya Afya Zanzibar Yafanya Mkutano Mkuu wa Mapitio ya Mkakati Mkuu wa Afya.

Waziri wa Afya wa Zanzibar Hamad Rashid Mohamed akitoa hutuba yake ya ufunguzi wa Mkutano wa kuwasilisha Taarifa ya Mapitio ya Mpango mkakati wa tatu wa Afya kwa kipindi cha miaka mitatu uliofanyika katika Ukumbi wa Hotel ya Ocean View mjini Zanzibar.Mwakilishi mkaazi wa Shirika linaloshughulikia Idadi ya watu duniani nchini Tanzania UNFPA Jaquline Mahon akiwasilisha salamu zake kwa niaba ya Mashirika ya Umoja wa mataifa katika hafla ya uzinduzi wa Mkutano wa kuwasilisha Taarifa ya Mapitio ya Mpango mkakati wa tatu wa Afya kwa kipindi cha miaka mitatu uliofanyika...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Wednesday, 7 March

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News