Wema Sepetu alivyofika Mahakamani Kisutu na Wakili Msando

Baada ya Wakili maarufu Peter Kibatala kujitoa kumtetea Msanii wa Filamu nchini, Wema Abraham Sepetu, leo February 8,2018 Msaniii huyo amefika Mahakamani akiwa na wakili Albert Msando. Albert Msando alitangaza kumtetea Wema baada ya Wakili Kibatala kuandika barua ya kujitoa kumtetea. Wema amefika Mahakamani hapo kwa ajili ya kufatilia kesi yake ya kukutwa na msokoto […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Thursday, 8 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News