Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum za SMZ Mhe. Haji Omar Kheri Awasilisha Hutuba ya Bajeti ya Wizara Yake Kwa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar.

Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar wakiwa katika ukumbi wa Baraza la Wakifuatilia Hutuba ya Bajeti ya Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum za SMZ ikisomwa na Waziri husika Mhe. Haji Omar Kheri katika Mkutano wa kumi wa Baraza la Tisa la Wawakilishi Zanzibar kwa mwaka wa Fedha 2018/2019.Mwenyekiti wa Baraza la Wawakilishi Mhe. Shehe Hamad Mattar akiongoza Mkutano wa Kumi wa Baraza la Tisa la Wawakilishi wakati Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum ikisomwa na Mhe. Haji...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Wednesday, 16 May

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News