Waziri wa Mambo ya Nje wa Falme za Kiarabu Azungumza na Waandishi wa Habari Zanzibar Wakati wa Ziara Yake.

Waziri wa Nchi na Ushirikiano wa Kimataifa wa Muungano wa Falme za Kiarabu (UAE)Reem Ibrahim Alhashimy  akizungumza na Waandishi wa Habari baada ya kumaliza Mkutano   uliowakutanisha Viongozi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar wakiongozwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,Issa Haji Ussi na  Ujumbe wa Wataalamu kutoka Nchi za Falme za Kiarabu kuhusiana na mambo mabalimbali  na sekta mbalimbali ambazo wanaweza kusaidia mkutano uliofanyika Hoteli ya Park Hyyat Shangani mjini Zanzibar.Na Faki Mjaka-Maelezo ZanzibarSerikali ya Falme za kiarabu (UAE) inatarajia kufungua Ubalozi wake mdogo Zanzibar kabla ya...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - 5 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News