WAZIRI WA JK AELEZA MACHUNGU YA KULALA SELO

Na ELIZABETH HOMBO -DAR ES SALAAM ALIYEKUWA Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi katika serikali ya awamu ya nne, Lawrence Masha, amesimulia alivyopitia machungu ya kulala selo wakati akiwa Chadema. Alisema  kukaa eneo hilo ni zaidi ya kuonana na mtu kama Osama Bin Laden. Masha   alirejea CCM hivi karibuni akitokea Chadema, alipohamia kabla ya Uchaguzi Mkuu wa 2015. Alisema  akiwa upinzani alikamatwa mara kadhaa na polisi na kulala katika Kituo cha Polisi Oysterbay Kinondoni, baadaye kupelekwa Segerea na mara ya mwisho alishikwa akiwa mjini Mpanda na kulala ndani....

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Wednesday, 6 December

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News