Waziri wa Habari aweka jiwe la msingi nyumba ya wagonjwa na kufungua Jengo la huduma za Mkono kwa Mkono Makunduchi

 Waziri wa Habari Utalii Utamaduni na Michezo Mhe, Rashid Ali Juma akikunjuwa Kitambaa kuashiria uwekaji wa Jiwe la msingi Nyumba ya Wananchi itakayotumika kwa kusubiri kuwaona Wagonjwa katika Hospitali ya Makunduchi alipokwenda kufungua Jengo la huduma za Mkono kwa Mkono Makunduchi Wilaya ya Kusini Unguja.Ikiwa ni Shamra shamra za Maadhimisho ya kutimia miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar. Waziri wa Habari Utalii Utamaduni na Michezo Mhe,Rashid Ali Juma wapili kulia akipata maelezo kutoka kwa Diwani wa Wadi ya Makunduchi Zawadi Hamdu Vuai kuhusiana na ujenzi wa Nyumba ya wananchi itakayotumika kuwaona...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Wednesday, 3 January

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News