Waziri wa Afya aendelea na ziara yake Hospitali ya Rufaa Mnazi mmoja

  Waziri wa Afya wa Zanzibar Hamad Rashid Mohamed akimsikiliza mmoja ya wauguzi wa kitengo cha Watoto Hospial ya Mnazi mmoja mara baada ya kufanya ziara ya kukagua Wodi ya watoto kufahamu changamoto zinazoikabili wodi hiyoWaziri wa Afya wa Zanzibara Hamad Rashid Mohamed akimbeba mtoto Abdulkarim Khamis Abdallah ambaye anaugua maradhi ya moyo katika chumba cha matibabu ya maradhi hayo Hospital ya Mnazi mmoja ambapo Madaktari wa maradhi ya Moyo kutoka nchini Isarael na Kanada wameweka kambi ya siku tatu ya matibabu ya watoto wanaosumbuliwa na maradhi hayo. Picha na Abdallah...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Wednesday, 7 March

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News