WAZIRI MWAKYEMBE: TATUENI KERO ZA WADAU KWA HARAKA NA UFANISI

 Mjumbe wa Baraza la Wafanyakazi Bw. Makoye Alex Nkenyenge akitoa neno la shukrani kwa mgeni rasmi (Hayupo katika picha) wakati wa ufunguzi wa kikao cha13 cha  Baraza la Wafanyakazi kilichofanyika leo Mkoani Dodoma katika Ukumbi wa Ofisi za Waziri Mkuu  Mwenyekiti wa Kamati ya Mfuko wa kufarijiana Bw. Mussa Varisanga akiwasilisha taarifa kuhusu mfuko huo wakati wa kikao cha 13 cha Baraza la Wafanyakazi la Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ,kilichofanyika leo Mkoani Dodoma.  Afisa Ushirika kutoka Manispaa ya Dodoma Bw.Greyson Masawe akiwasilisha mada kuhusu uanzishaji wa Chama...

read more...

Share |

Published By: Jamhuri Media - 3 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News