WAZIRI MKUU, MAJALIWA AZINDUA KAMPENI YA UPANDAJI MIKOROSHO BORA RUANGWA, LINDI

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisikiliza Maelezo toka kwa Afisa Ubanguaji Toka Bodi ya Korosho Tanzania CBT Domina Mkangara wakati wa Uzinduzi wa kampeni ya Kitaifa ya Upandaji mikorosho Bora na mipya Million10 iliyofanyika Wilaya ya Ruangwa Mkoani Lindi. Waziri mkuu wa jamhuri ya Muungano Kassim Majaliwa amewataka wakulima wa zao la korosho Kuhakikisha wanapunguza na kuondoa Miti ya Mikorosho ambayo Inamiaka mingi shambani ambayo Inasababisha Kutoa mavuno hafifu na Yenye Ubora usiohitajika katika soko lakimataifa.    Majaliwa ameyasema hayo katika uzinduzi wa wa kampeni ya kitaifa ya upandaji wa...

read more...

Share |

Published By: Jamhuri Media - Sunday, 31 December

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News