Waziri Mkuu Aipongeza Bima ya Afya Kwa Jinsi Inavyosaidia Kutoa Huduma Katika Kituo cha Afya Madaba Songea.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimjulia hali Sophia Mgeni ambaye ametoka kujifungua mtoto wa kike Waziri mkuu alitembelea Zahanati ya Madaba iliyopo wilaya ya Songea ilikuweza kuwasikiliza wagonjwa katika zahanati hiyo Waziri mkuu yupo Mkoani Ruvuma kwa ziara ya kukagua shughuli za maendeleo  Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na wauguzi wa zahanati ya Madaba amewataka waendele na moyo waliokuwa nao wakuwapenda wagonjwa na kuwahudimia kwani serekali inatambua mchango wao wanaoutoa kwa taifaWaziri Mkuu Mkuu Kassim  Majaliwa akiwahutubia wananchi wa madaba amabao waliojitokeza jitokeza kwawingi amabapo waziri mkuu alitumia nafasi hiyo yakuwaelezea...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Friday, 6 January

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News