WAZIRI MKUU AFUNGUA JENGO LA UMOJA WA MATAIFA

Baadhi ya washiriki wa Ufunguzi wa Ofisi ya Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi Mkazi wa UNDP Nchini wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza kabla ya kufungua Ofisi hiyo eneo la Mlimwa mjini Dodoma, Desemba 7, 2017 Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi Mkazi wa UNDP nchini, Bw. Alvaro Rodriguez akizungumza katika ufunguzi wa Ofisi yake uliofanywa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, eneo la Mlimwa mjini Dodoma Desemba 7, 2017. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Waziri wa Mambo ya Nje...

read more...

Share |

Published By: Jamhuri Media - Thursday, 7 December

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News