Waziri January Makamba Atoa Ushauri kwa wasanii na vijana maarufu

Ujumbe huu umeandikwa leo na Waziri January Makamba katika ukurasa wake wa Twitter ikiwa ni ushauri kwa wasanii na vijana maarufu. Ushauri huu umechukuliwa na wengi wa watumiaji wa mitandao ya Twitter na Instagram kama muhimu kwa wasanii hasa baada ya kuibuka kwa matendo yasiyoakisi taswira njema kwa jamii kwa siku za karibuni. Ujumbe huo umeandikwa kwa lugha ya Kiingereza lakini tafsiri isiyo rasmi ni: “Kwa wadogo zangu maarufu wa kike na wa kiume: umaarufu unabeba majukumu. Ushike kwa makini. Umaarufu unaweza kudumu kwa dakika 15 watu tukafurahi na...

read more...

Share |

Published By: Jamhuri Media - 3 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News