Waziri Haji Omar Kheir azindua Wodi ya wazazi ya kinamama ikiwa ni mwendelezo wa shamra shamra za miaka 54 ya mapinduzi

Na Ali Issa Maelezo   3/1/2018 Waziri wa nchi afisi ya Rais Tawala za mikoa na idara maalum za Serikali Haji Omar Kheir amewataka kinamama kujifungulia Hospitalini na kuacha mazoea ya kujifungulia nyumbani ili kuepuka matatizo yanayoweza kujitokeza. Hayo ameyasema leo katika kituo cha Afya cha Sebleni wakati wa uzinduzi wa Wodi ya wazazi ya kinamama wa zaidi ya shehia saba ikiwa ni mwendelezo wa shamra shamra za miaka 54 ya mapinduzi ya Zanzibar.Amesema kinamama kujifungulia hospitali kuna wapa asilimia kubwa kuzaa salama kwani inapotokea tatizo inakuwa ni rahisi kulitatua,kuliko kujifungulia nyumbani.Amesema frusa...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Wednesday, 3 January

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News