Waziri Castico azindua mradi wa maji safi na salama katika maadhimisho ya miaka 54 ya Mapinduzi Kifundi, Micheweni Pemba

 Waziri wa kazi , Uwezeshaji , Wazee, Vijana , Wanawake na Watoto wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Maudline Cyrus Castico, akifunguwa mradi wa maji safi na salama , ikiwa ni miongoni mwa madhimisho ya miaka 54 ya Mapinduzi matukufu ya Zanzibar., huko Kifundi Wilaya ya Micheweni Pemba. Waziri wa Kazi, Uwezeshaji , Wazee , Vijana , Wanawake na Watoto wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar , Maudline Cyrus Castico, akiwasha Switch ya Umeme kuashiria mradi uko tayari kwa kuanza matumizi ya maji safi na Salama katika mradi wa maji safi na Salama...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Tuesday, 2 January

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News