Waziri Amina weka jiwe la msingi skuli ya Michenzani Wilaya ya Mkoani ikiwa ni shamrashamra za miaka 54 ya Mapinduzi

WAZIRI wa Biashara Viwanda na Masoko Zanzibar, Balozi Amina Salum Ali akisalimiana na Ofisa Mdhamini Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Pemba, Ali Salum Ali Mata mara baada ya kuwasili katika skuli ya Michenzani Wilaya ya Mkoani, kwa lengo la kuweka jiwe la msingi katika skuli hiyo.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA). WAZIRI wa Biashara Viwanda na Masoko Zanzibar, Balozi Amina Salum Ali, akikunjuwa kitambaa kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi, banda la vyumba vinne vya skuli ya Msingi michenzani Wilaya ya Mkoani, kushoto ni Naibu katibu mkuu Wizara ya Elimu...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Tuesday, 2 January

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News