Waziri ajiuzulu baada serikali kushindwa kupambana na Rushwa

Leo January 3, 2018 Tukiwa tumeanza mwaka mpya kila mmoja amejipanga kwa aina yake hii ni kutoka kwa Waziri wa Mambo ya Nje, Harry Kalaba, ametangaza kujiuzulu wadhifa wake, kwa kile alichodai kushindwa kwa Rais wa Zambia Edgar Lungu, kupambana na rushwa. Kalaba amesema uamuzi wake umetokana na kiwango cha juu cha rushwa ambayo inafanywa […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Wednesday, 3 January

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News