Wazazi watakiwa kushirikiana na walimu kuhakikisha mtoto anapata elimu bora

Na Salmin Juma, PembaWazazi na walezi watoto kisiwani Pemba wametakiwa kutoa mashirikiano ya kutosha baina yao na walimu ili kumfanya mtoto kupata elimu itakayomuokoa katika maisha yake duniani na akhera.Tafiti zinaonyesha kuwa wananchi mbalimbali nchini zinaonyesha kua wanafunzi wengi hushindwa kufanya vizuri katika masomo kutokana na kutokuwepo kwa mashirikiano mazuri baina ya pande hizo mbili .Akizungumza na mwandishi wetu Mwalim msaidizi wa madarasatul siraji-munira ya Kilindi wilaya ya chakechake Ust: Ramadhan Juma Ramadhan amesema kuwa, kuna baadhi ya wazazi hawatoi kabisa mashirikiano kwa maustadh pindi wanapowapeleka watoto wao chuoni.Ust: Ramadhan...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Monday, 19 June

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News