WAUGUZI WATAKIWA KUCHUNGUZA SARATANI YA MACHO KWA WATOTO

Veronica Romwald, Dar es Salaam Watumishi wa afya kuanzia ngazi ya jamii na hospitali za kliniki za mama na mtoto kuhakikisha wanawachunguza watoto uakisi wa mwanga kwenye mboni zao kila wanapopelekwa kliniki ili kupunguza uwepo wa saratani ya macho kwa watoto (Retinoblastoma). Mganga Mkuu wa Serikali, Profesa Mohamed Kambi amesema hayo leo Mei 16, jijini Dar es Salaam wakati akitoa tamko la saratani ya macho kwa watoto kwa niaba ya Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu. Amesema watoto 137 wenye saratani ya jicho wameonwa katika vituo...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Wednesday, 16 May

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News