Watuhumiwa waliotoboa bomba la mafuta na kujiunganishia wafikishwa Mahakamani leo

Leo January 16, 2018 Watu saba ambao wanadaiwa kujiunganishia bomba kuu la mafuta ya Dizeli hadi nyumbani kwao  wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwaajili ya kusomewa mashtaka hayo. Watu hao walikamatwa siku chache za nyuma na Jeshi la Polisi katika maeneo mbalimbali Kigamboni ambapo wote walikuwa wakifanya kazi hiyo ya kunyonya mafuta katika […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Tuesday, 16 January

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News