Watu 700 waliokuwa wametekwa na Boko Haram wamefanikiwa kutoroka

Leo January 2, 2018  nikusogezee taarifa kutoka nchini Nigeria kwa President Muhammadu Buhari ambazo zinaeleza kuwa takribani watu 700 ambao walikuwa mateka wa kundi la waasi la Boko Haram wamefanikiwa kutoroka mikononi kwa kundi hilo. Kwa mujibu wa Msemaji wa Jeshi nchini humo Kanal Timothy Antigha amesema kuwa wamefanikiwa kutoroka kupitia visiwa kadhaa vya ziwa Chad na […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Tuesday, 2 January

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News