WATU 225 HUAMBUKIZWA VVU KWA SIKU

Na Hamisa Maganga, Bagamoyo Takwimu zinaonesha kuwa Watanzania 225 huambukizwa Virusi vya Ukimwi kwa siku. Hali hiyo inamaanisha kwamba kwa mwezi watu 6,750 huambukizwa VVU na kwa mwaka ni 81,000. Takwimu hizo zimetolewa na Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Kudhibiti Ukimwi (TACAIDS), Dk. Leonard Maboko, leo Jumanne Machi 6, wakati akifungua mafunzo kwa waandishi wa habari kuhusu uandaaji wa programu bora za Virusi vya Ukimwi (VVU) na Ukimwi. Amesema hali hiyo ni mbaya zaidi kwa vijana wenye umri kati ya miaka 15 hadi 24. “Asilimia 40 ya maambukizo mapya...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Tuesday, 6 March

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News